School logo
ST. GETRUDE MLANDIZI GIRLS SECONDARY SCHOOLOra Et Labora | Sala Na Kazi
EVENT

Mtihani wa Usaili kwa kidato cha kwanza 2027

2026-09-12 • ST. GETRUDE MLANDIZI

Mtihani wa Usaili kwa kidato cha kwanza 2027
Mtihani wa kujiunga na kidato cha kwanza 2027 utafanyika tarehe 12/09/2026 Shuleni St. Getrude Mlandizi Girls.
Mtihani utaanza saa tatu kamili asubuhi