• Ile furaha baada ya kujua wanakaribia kufungua shule

  KARIBUNI TENA WANAFUNZI WETU

  KIDATO CHA PILI NA NNE TRH 30/08/2022

  KIDATO CHA KWANZA NA TATU TRH 03/09/2022

 • Ile furaha baada ya kujua wanakaribia kufungua shule

  KARIBUNI TENA WANAFUNZI WETU

  KIDATO CHA PILI NA NNE TRH 30/08/2022

  KIDATO CHA KWANZA NA TATU TRH 03/09/2022

St. Getrude Secondary School is purpose-built girls boarding school, situated at Disunyala village in Kilangalanga ward, Mlandizi Division, Kibaha district, in Pwani Region.
It's about three (3) kilometers along Dar es salaam-Morogoro road and 45 kilometres from Dar es Salaam, Tanzania in East Africa. The school is a cutting edge establishment on the national education scene.

Read more

To view the Results (for Parents or Guardians)

Click here to Login

NOTICE BOARD

FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023

Shule ya mtakatifu Getruda iliyopo mlandizi, inatangaza nafasi ya kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2023. Fomu zimeanza kutolewa rasmi kwa gharama ya 20,000/= katika vituo vifuatavyo

1. Shuleni St Getrude Mlandizi Girls
2. Fiona street kwa masista(Mlandizi)
3. Kituo cha kutolea meno cha masista(Dental) Njombe
4. Miyuji, karibu na chuo cha mipango Dodoma
5. Msimbazi Center chumba namba 6,9, 12 na 19
6. Parokia ya Mtakatifu Bakhita - Morogoro
7. Bantu open school nanenane - Morogoro

Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 01/10/2022. Mtihani utafanyika tarehe 08/10/2022 shuleni St Getrude Mlandizi na St Getrude Imiliwaha-Njombe. Mtihani Utajumuisha masomo Matatu amabyo ni Hisabati, Lugha na Maarifa.

Kwa Mawasiliano zaidi tumia namba zifuatazo;


1. 0656929014 Mkuu wa Shule
1. 0753495689 Makamu mkuu wa shule
3. 0762743900 Parokia ya Mt. Bakhita - Morogoro
4. 0685968450 Bantu open school - Morogoro
5. 0768229866 Miyuji - Jirani na chuo cha mipango - Dodoma
ACTING HEADMASTER
Name: RODRICK PAYOVELA
Call: 0753495689
Email: rodrickpaul54@gmail.com
ACADEMIC MASTER
Name: MODESTUS KAYOMBO
Call: 0758034966
Email: modestusmwalyos@gmail.com
SCHOOL ACCOUNTANT
Name: MODESTUS MSABAHA
Call: 0769462258
Email: modestusmbawala@gmail.com
DISCIPLINE MISTRESS
Name: Sr CAMILA MASANGULA
Call: 0764672546
Email: camilamasangula@gmail.com